KWANINI NI VEMA KUWA MJASIRIAMALI?
Ujasiriamali ni mchakato wa kuziona fursa na kuweka miundombinu sahihi, pamoja na rasirimali watu,na rasirimali fedha kiasi katika eneo mahususi ili kufanya biashara au kutoa huduma, kwa lengo la kujiongezea kipato.
Ujasiriamali una weza kuwa ni kufanya biashara, au kutoa huduma fulani, katika jamii.
Je ni kwanini kila mtu awe mjasiriamali?
Swali hili lina taka majibu yakina ili kuweka maana sawa ya umuhimu huo kwa jamii, na wanajamii wote.
Swali linginela kujiulizani kweli kila mtu ana sifa za kuwa mjasiriamali, labda ili uwe mjasiriamali unaitaji uwe na sifa zipi,(qualities)?
Ukweli wa mambo ni kwamba mambo mengine mengi una yo ambiwa kwamba unatakiwa kuwanayo ili uwe mjasiriamali pengine ni mengi sana na labda hauna wewe kama mtu binafsi na uka hisi basi wewe huna sifa za kuwa mjasiriamali.
Lakini kama utangulizi unavyo eleza ni hali au mchakato(process), wa wewe mtu binafsi, au kikundi mlioona fursa na kuzi changamkia, kwa lengo la kuwaongezea kipato, na kuwa fanya muishi kwa furaha.
Lengo kuu la kuwa mjasiriamali ni moja tu au mawili kuongeza kipato, na kuweza kujijengea uwezo mzuri katika utendaji wa kazi zako za kila siku. Ujasiriamali ukifanywa kwa husahihi, una ibua mambo mengi na faida nyingi na kuku weka katika nafasi nzuri katika jammii yoyote, una weza kuaminiwa sana na kupata faida kubwa sana katika maisha.
Unaweza kupata mambo mengi lakini mimi na yaangalia mabo mawili kwa ujumla wake amboyo ndio chanzocha kuibua mambo mengine au faida nyingine.
Mambo hayo ni kuongeza kipata na kujenga utendaji mzuri katika shughuli zako.
Sasa swali la kujiuliza nani anafaa au ana sifa za kuwa mjasiriamali?
Inawezekana unajiuliza swali hili maranyingi sana na kujipima(assessment on qualities) kama na wewe una sifa za kuwa mjasiriamali.
Ukweli ni kwamba katika dunia hii tunayo ishi hakuna kinacho shindikana kama tu umetumia njia sahihi kupanga jambo lako, kisasa kisayansi haswa na lika shindwa kufanikiwa.
Kama litashindwa kufanikiwa basi kuna sababu pia za kisayansi zinazo pelekea jambo husika kutofanikiwa, yani na maanisha kuna( measurable reasons)sababu zinazo pimika kuonesha kukwama kwa jambo au kufanikiwa kwa jambo lolote. Kwahiyo swali je! mimi nasifa za kuwa mjasiriamali? Jibu ni ndio wewe unazo hizo sifa, kikubwa ambacho una kosa ni fikra zako tu uja zi twist kwenye upande huo, wakuongeza mali katika kaya yako.
Kikubwa cha kufanya panga mambo yako kisayansi, panga mipango yako kwa weledi mkubwa,kuwa mvuumilivu katika kufanikiwa katika lengo kubwa zaidi. acha tamaa za muda mfupi jikite katika mambo ya maana, kuwa makini na matumizi ya fedha kwa mambo muhimu na yanayo itajika kwamaendeleo ya huduma uitoayo.
Kwahiyo ni swala la wewe kutoka hapo katika mawazo uliyo nayo na kujaribu kuvuka mto wenye mamba wengi ukichukua njia sahihi na nakuhakikishia utafanikiwa.
Namna utakavyokuwa una endelea ndipo utaona wataalamu wengine, na watu wengine watakavyo kuwa wanakuja na kuanza kuonesha utaalamuwa na kukushauri ili na lile, uta pata washa wazuri na wa baya kazi ni kwako kuchuja taarifa, ipi ina faida kwako na kwa wakati gani.
Shida kubwa ninayo iona watanzania tunayo ni kwamba, tuna weza kusoma vizuri au kusikiliza semina vizuri sana tukijaribu kuchukua hatua kidogo na endapo tuna kwama basi hapo ina kuwa ndo mwisho wa mchezo.
Nawatakia siku njema tutaonana wakati mwingine, chukua hatua usijione umechelewa, Mungu awabariki nyote.
Sisi sote ni ndugu.
Godfrey Nangeda.

No comments:
Post a Comment